Thursday, April 3, 2014

Msanii wa Dancehall Vybz Kartel, atupwa jela maisha.




KINGSTON, Jamaica: Msanii wa Dancehall Vybz Kartel, atupwa jela maisha.

Kartel, ambaye jina lake halisi ni Adidja Palmer, pamoja na wenzake watu walihukumiwa kutokana na mauaji ya Lizard.

Soma zaidi: Billboard.

No comments:

Post a Comment