Thursday, April 3, 2014

Rohan Marley - mtoto wa Bob Marley aliyekata nywele zake.


 Rohan Marley - mtoto wa Bob Marley alikata nywele zake kuelekea mwisho wa mwaka jana. Rohan ambaye ni mfanyabiashara, anamiliki Marley Coffee. Pia ni baba wa mtoto wa Lauryn Hill, dada mrembo aliyekuwa katika kundi la Fugees.


Soma zaidi: islandmix

No comments:

Post a Comment