Huyu ni mtengeneza viatu anayejulikana kama
General Trees. Ni mkazi wa Drews Land huko Kingston, Jamaica. Kwenye miaka ya 80s alikuwa maarufu sana kutokana na jinsi alivyokuwa anaimba kwa haraka. Ni jina ambalo haliwezi likaachwa katika historia ya dancehall