Baada ya kufanya kazi ya kutengeneza viatu kwenye duka la baba yake, alijichanganya kwenye sound system, na kufanya kazi na Black Scorpio. Halafu hilo jina lake la General Trees alipewa na mtangazaji maarufu anayeitwa Barry G.
Wakati alipopumzika kwenye biashara ya muziki, alirudi kwenye fani yake kutengeneza viatu.
Albamu yake King Jammy's Presents The Best of General Trees unaweza kuisikiliza AllMusic.
Hivi sasa General Trees anaendelea na kurekodi huku akiendelea kufanya maonyesho akiwa na King StuGav Sound System.
Little Twitch, General Trees & Beenie Man - Live on King SturGav at Club Amazura NY, 2009.
No comments:
Post a Comment