Morgan Heritage - "Perfect Love Song"
Baada ya kufanya kazi za binafsi kwa muda, Morgan Heritage wamerudi pamoja na kuendelea kama kundi, sasa wametoa wimbo wao wa kwanza kutoka katika albamu yao mpya ambayo itatolewa na VP Records. Wimbo "Perfect Love Song" - utakuwapo kwenye hiyo album mpya inayoitwa, Here
Come The Kings.
Nunua "Perfect Love Song" kutoka iTunes.
No comments:
Post a Comment