Saturday, June 14, 2014

Fatou



Mwimbaji wa Mali, Fatoumata Diawara (aka Fatou) alizaliwa nchini Ivory Coast mwaka 1982 kisha kulelewa katika nchi ya Mali.
Akiwa na  umri wa miaka kumi na nane, Fatou alisafiri hadi Paris (Ufaransa) kufanya maonyesho. Baada ya ziara, Fatou alirudi Mali ambapo mwaka 2001 alicheza filamu inayoitwa 'Sia'. Kwa wengi katika nchi za Mali, Guinea, Senegal na Burkina Faso; Fatou kwao ni Sia - shukrani kwa mafanikio ya filamu hiyo.



Ukurasa wa Fatou.

No comments:

Post a Comment