Thursday, June 12, 2014

"You can jail a Musician, but you can't jail the Music". - Vitali Maembe



Vitali Maembe:

"Alhamisi tarehe 12 jioni ntakuwa na watoto wa mitaani maeneo ya kariakoo. Ijumaa Tarehe 13 asubuhi nitatembelea Mahabusu ya watoto Dar, Mchana naanza kuelekea Bagamoyo kwa miguu, njiani nitapiga muziki na kujadili na watu juu ya elimu. Jmosi tarehe 14 na Jpili Tarehe 15 nitakuwa njiani. Jtatu Tarehe 16 nitapokewa na wanamuziki wengine tutajumuika pamoja Bagamoyo kupaaza sauti zetu juu ya umuhimu wa Elimu kwa watoto wote."


No comments:

Post a Comment